Be blessed with this wonderful piece by the Hilton A.Y choir as they they express their innermost desire to be with God in all their endeavours as Psalmist praises in the book of Psalms 42. LYRICS Verse 1 Kama atamanivyo maji ya kjito ndivyo ninavyokutamani eeh Mungu wangu naona kiu ya Mungu, kiu ya Mungu aliye hai nitafika lini kwake kuuona uso wake Chorus nitakwenda madhabahuni pako Mungu nakuja kwako furaha yangu kuu ulipo niwepo nitakusifu nakutumainia ewe Mungu wangu ulie msaada wangu utanijalia na fadhili zako niimbe sifa zako Verse 2 Ni kwa nini umenisahau? kwa nini niomboleze? kudhulumiwa na adui yangu nimepondwa kwa matukano yao wanapouliza kila siku yuko wapi Mungu wako? napatwa na hamu ya kufika nyumbani mwa baba. Video done by Lcm Studios (+254 748 840 720) Song written by Joshua Mbithi Produced by SOH Studios Nakuru